• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Dc Kibaha Atupilia Mbali Madai ya kumvua Madaraka Mwenyekiti wa Kijiji Dutumi

Posted on: September 13th, 2018

DC KIBAHA ATUPILIA MBALI MADAI YA KUMVUA MADARAKA MWENYEKITI  WA KIJIJI DUTUMI

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe.Yasumpta Mshana ametupilia mbali madai ya baadhi ya wajumbe wa kijiji cha Dutumi   yaliyokuwa  yanamtaka wenyekiti wa kijiji hicho avuliwe madaraka kwa madai ya ubadhilifu wa fedha za kijiji na kutokuitisha mkutano wa wananchi wa kuwasomea mapato na matumizi ya  kijiji.

Akiongea na wananchi wa Kijiji cha Dutumia Dc amewaambia wananchi kuwa madai hayo hayana mashiko kwani alituma timu ya ukaguzi na kugundua kuwa  madai hayo  hayana ukweli  na yamekaa kimajungu zaidi na kwamba hawezi kushughulikia malalamiko yasiyokuwa na ushahidi hivyo kuwataka wanaolalamika kuleta madai yao upya yakiwa na ushahidi wa kutosha .

"Leteni malalamiko yenye vielelezo, nipo tayari kurudi  tena ,tuhuma  zisizo na vielelezo haziwezi kuwa na mashiko sana sana ni majungu na mimi siwezi kufanyia kazi majungu " alisema Dc  Yasumpta.

Hata hivyo Dc aliwauliza wananchi wa kijiji cha Dutumi kama wanamtaka mwenyekiti au avuliwe madaraka wananchi wote walipiga kura za kutaka mwenyekiti aendelee na majukumu yake.

wakiongea baada ya mkutano huo wananchi wakijiji cha Dutumi  wamesema mwenyekiti wa kijiji hicho Mhe. Mkali Kanusu sio mwizi na wala mbadhirifu wa mali za umma ila amewasaidia sana kuleta maendeleo kwenye kijiji chao na kusimamia vizuri mapato ya kijiji hadi wananchi wote wakawa wanalipiwa CHF hivyo madai juu yake ni majungu na chuki binafsi.

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha pamoja na kamati ya ulinzi na usalama walifanya ziara kwenye kijiji cha Dutumi  yenye lengo la kwenda kusikiliza malalamiko juu mwenyekiti wa kijiji hicho. Dc alipokea malalamiko hayo ofisini kwake na kutuma timu ya ukaguzi iliyofanya kazi ya kukagua madai yote na kumletea ripoti  ambayo aliitumia kutoa maamuzi.

dC 

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.