• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Dc Kibaha AsisitizaMaadili Kwenye Malezi ya Watoto

Posted on: February 1st, 2019

DC KIBAHA ASISITIZA MAADILI KWENYE MALEZI YA WATOTO

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe, Yasumpta Mshama amewataka wazazi kuzingatia maadili kwenye makuzi ya watoto  kwani wazazi wa sasa wamekua wakisahau kuwafundisha watoto wao maadili yanayofaa.

Mshama ameyasema hayo wakati wakufungua kikao kazi kinachohusu uhamasishaji wa uhuishwaji wa Siku ya Afya ya Jamii na Mabadiliko ya Ufuatiliaji wa Maendeleo na Makuzi ya Watoto Chini ya Miaka Mitano kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa halmashauri.

akiongea wakati wa kikao hicho Mshama amesema halmashauri ya wilaya kibaha imeamua kuhuisha Siku ya Afya ya Jamii iliyokuwa ikitekelezwa miaka ya 1990 chini ya mpango wa UNICEF. Mpango huu ulikuwa unazingatia afya ya watoto chini ya umri wa miaka mitano (5) na ulikazia kuona hali ya lishe ya watoto, chanjo na uliratibu vifo vya watoto ngazi ya jamii.

Mkuu wa wilaya amesema  Lengo kuu la mpango huo lilikuwa ni kuwajengea uwezo viongozi wa jamii, kata, vijiji na wataalamu wa afya kusimamia shughuli hizo katika maeneo yao ili kupitia elimu ya afya, jamii ipate uelewa zaidi wa afya ya uzazi na mtoto pamoja na kujikinga na maradhi yanayoambukiza na yasiyoambukiza.

Pamoja na hayo muwezeshaji wa semina hiyo Dk Suleman Kimmata amewataka wamama wajawazito kuzingatia matumizi ya folik acid mara tu wanapogundua ni wajawazito au miezi mitatu kabla ya kubeba ujauzito  ili kuzuia watoto kuzaliwa na ulemavu kama vichwa vikubwa na mgongo wazi.

Vile vile ,Dr Kimmata amewataka  Watu wazima na wazee kufanya  uchunguzi waAfya zao ukihusisha  vipimo vya msukumo wa damu (BP na BMI), hali ya uono, kisukari, kubaini dalili za kifua kikuu (TB). kwa kufanya vipimo hivi mara kwa mara itawasaidia watakaogundulika na matatizo hayo kupata tiba katika hatua za mwanzo za ugonjwa.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kibaha Bi Ruth Mwelo amewataka wazazi kupunguza hasira kipindi wanapokuwa wajawazito ili kupunguza kuzaa watoto wenye viburi na hasira zilizopitiliza kwani mtoto aliyetumboni anachukua kwa asilimia kubwa tabia za mama.

akichangia mada kwenye kikao kazi hicho Zamda John afisa elimu Taaluma amewataka wazazi kuwalinda watoto katika makuzi yao kwani kwa sasa wazazi wamesahau majukumu yao ya kulinda watoto sababu inayopelekea watoto kuzagaa mitaani na kupata madhara mbalimbali.  

washiriki wa kikao kazi hicho wameonyesha kufurahishwa na masomo yaliyotolewa na kuomba masomo hayo yakatolewe kwa watumishi ngazi  za kata na vijiji kwani yanamanufaa .


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.