• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Camfed Yatoa Msaada wa Vifaa vya Tsh 52,000,000 kwa Wasichana wa Kibaha

Posted on: October 19th, 2018

Camfed  Yatoa Msaada wa Vifaa vya Tsh 52,000,000 kwa Wasichana wa Kibaha

Camfed Tanzania wametoa msaada wa vifaa vyenye jumla ya tsh 52,000,000/= kwa wasichana waliowahi kupata ufadhili wa masomo lakini hawakuweza kuendelea na masomo ya elimu ya juu.

Akiongea wakati wa hafla fupi ya kugawa vifaa hivyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mama Ndesi Mlandizi kaimu mkuu wa Wilaya ya kibaha Bi Roina Ilomo aliwataka mabinti hao kwenda kutumia vifaa hivyo kuwaletea maendeleo na wasiende kudanganywa na wanaume nakushindwa kutimiza malengo yao.

Ilomo aliwatia moyo mabinti hao kuwa kufeli masomo sio kufeli maisha kwa hiyo wakajitume kwa bidii kwa kutumia vitendea kazi na ujuzi waliopewa   ili waweze  kujikwamua kiuchumi pia aliwaasa wasiwe wabinafsi wakawasidie na wengine wenye uhitaji.

pamoja na hayo, mratibu wa Camfed mkoa wa Pwani bi Latifa Sabuni amesema camfed wanatekeleza miradi mbali mbali ikiwemo mradi wa kusomesha wanafunzi wanaotoka kwenye mazingira hatarishi  na kwa halmashauri ya kibaha jumla ya wanafunzi 306 wanapata ufadhili huo kwa jumla ya mil 68,475,600. wanafunzi hao wanaosoma kidato cha tatu na cha nne katika shule za Dosa Azizi,Kilangalanga ,Kwala, Magindu,Ruvu Station,Miande,na Rafsanjani

vifaa vilivyogawiwa ni pamoja na kompyuta mashine ya kutolea photokopi ,vyerehani,meza za kukatia nguo,viti pamoja na mikasi

akiongea baada ya kupokea vifaa hivyo mmoja wa wasichana hao Shamia Akobo kutoka Soga ameishukuru Camfed kwa kumsomesha tangu form two hadi alipohitimu form four mwaka 2013 na sasa wamewapatia mafunzo pamoja na vifaa vya kuanzia.

Naye Sikuzani Yusuph ameishukuru Camfed kwa kumsomesha kuanzia form one hadi form four na anapata mkopo wa kiva unaomsaidia kufanya biashara yake ya kuuza korosho binti huyo amesema camfed kwake ni mkombozi

Camfedi ilianza kufanya kazi Mkoa wa Pwani mwaka 2007 kwa kutoa ufadhili kwa wanafunzi wanaotoka kwenye mazingira magumu wanaosoma shule za sekondari na kwa sasa wanatoa ufadhili kwa walioshindwa kuendelea na masomo.


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.