• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Benki ya CRDB yatoa Msaada wa Madawati 50 kwa Shule ya Sekondari Samia Mtongani

Posted on: May 31st, 2024

BENKI  ya CRDB imekabidhi madawati 50 yenye thamani ya milion tano kwa shule ya sekondari  ya Samia Mtongani iliyopo kata ya Mtongani Mlandizi Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.


 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Regina Bieda akizungumza baada ya kupokea madawati hayo amewaasa wanafunzi wa shule hiyo kusoma kwa bidii na kutokuruhusu ndoto zao zikatishwe na mtu mwingine.


Bieda amewapongeza waalimu wa shule hiyo kwa jitihada wanazofanya katika kuwakuza watoto hao kielimu na kuwataka waongeze juhudi katika ufundishaji ili kuleta matokeo mazuri yatakayoendana na Jina la Samia.


Aidha aliwashukuru benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa madawati hayo .


"Sisi tumefarijika kupokea madawati haya kwani tulikuwa na changamoto ya madawati lakini leo kwa msaada huu tatizo la madawati linaenda kupungua," amesema Bieda.


Pia ameitaka uongozi wa benki hiyo kuendeleza ushirikiano kwani bado kuna uhitaji wa vitu vingi na kuwaahidi kutoa ushirikiano pale watakapohitajika katika kufikia mipango ya maendeleo.


Akizungumza katika hafla hiyo Meneja wa CRDB tawi la Mlandizi Mamertus Gabriel Luena amesema benki inashirikiana na wananchi katika maendeleo na wameona ili wanafunzi watimize ndoto zao si vemawakakaa chini .


Amesema kutokana na hali hiyo wameamua  kutoa madawati hayo 50 yenye thamani ya milioni tano na kuwataka wanafunzi wasome kwa bidii ili kutimiza ndoto zao.


Luena amewataka waalimu kufundisha kwa bidii  ili kuleta matokeo mazuri kwani wakifanya vizuri benki itaendelea kuwafanyia makubwa zaidi.


Wanafunzi wa shule hiyo wameishukuru benki ya CRDB kwa kuwapa msaada wa madawati kwani itaenda kuwapunguzia uhaba wa madawati kwenye shule yao na kuwaahidi kwenda kusoma kwa bidii

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.