• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 39.6

Posted on: January 24th, 2025

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri Wilaya ya Kibaha limepitisha makadirio ya bajeti ya sh. Bilioni 39.6 kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Makadirio hayo ya bajeti yamepitoshwa katika kikao maalumu cha Baraza hilo kilichokaa Januari 24 Mlandizi Wilaya ya Kibaha.


Akiwasilisha hoja katika kikao hicho Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Erasto Makala amesema kati ya fedha hizo sh. Bilion 30 ni kutoka Serikali kuu, sh. Biln 4.6 zitatokana na mapato ya ndani na sh. Biln 4 ni michango ya wafadhili.


Makala amesema ipo miradi mbalimbali itakayotekelezwa kupitia fedha za ndani ambayo ni pamoja na ujenzi wa nyumba ya kuhifadhiwa maiti katika kituo cha afya Magindu ambayo imetengewa sh. Miln 50.


Miradi mingine ni ujenzi wa jengo la X- ray katika kituo cha afya Mlandizi uliotengwwa sh. Bilion 100 na madawati 200 ambayo yataenda katika shule za Samia Mtongani (100) Boko Mnemela (50) na kawawa (50).


Amesema katika bajeti ya 2023/2024 Halmashauri ilipokea sh.Biln 32.8 sawa na asilimia 97 ya makisio ya mwaka ambayo ni sh. Biln 33.9.


Makala ameeleza kwamba hadi kufikia June 2024  Halmashauri hiyo imepata Mafanikio katika ujenzi wa shule mpya ya Sekondari sambamba na kuanzisha ujenzi wa soko la kisasa.


Katika Baraza hilo Madiwani wameomba Halmashauri kuangalia namna ya kukarabati barabara kwenye Mitaa yao pamoja na kuongeza idadi ya vyumba vya Madarasa kuwanusuru wanafunzi wasisongamane katika chumba kimoja.


Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Shukuru Lusanjala amesema bajeti hiyo ikipitishwa watasimamia utekelezaji wake kama ilivyopangwa kwa kuwagusa wananchi moja kwa moja.


Lusanjala pia wamesema kwenye maeneo yaliyoelezwa kuwa na barabara mbovu, uhitaji wa madawati na vyumba vya Madarasa watatafita namna ya kutatua kupunguza  upungufu uliopo.



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.