• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ANGOLA WATEMBELEA KIBAHA KUJIFUNZA KUHUSU TASAF

Posted on: May 28th, 2023


Wajumbe tisa kutoka nchi ya Angola wamefanya ziara ya kujifunza na kubadilishana uzoefu  katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha ambapo walitembelea miradi pamojana kukutana na wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya za walengwa unaotekelezwa na Mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF)Wajumbe hao kutoka nchini Angola wametembelea Tanzania kwa lengo la kujifunza,utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAFAkiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango ngazi ya Halmashauri Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauriya Wilaya ya Kibaha Butamo Ndalahwa ameeleza kuwa kuanzia kipindi cha malipo cha Juli- Agosti 2020 hadiNovemba - Disemba 2022, Tshs. Bilioni 1.4 kutoka TASAF zimepokelewa kwa ajili ya malipo ya wanufaika pamoja na ufuatiliaji nausimamizi.Ndalahwa amesema TASAF inawanufaika katika vijiji 46 vya Halmashauri hiyo nakwamba kutokana na fedha zinazotolewa kaya za wanufaika zimeweza kujikwamuakiuchumi kwa kuanzisha shughuli za kuongeza kipato ikiwa ni pamoja na kilimo, ufugaji na biashara ndogondogo.Awali kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Nsajigwa Mwamunyange ameelezeanamna walivyofurahishwa na wajumbe hao kufanya ziara yao hapa nchini hususaniMkoa wa Pwani.Nsajigwa ameeleza kuwa TASAF imesaidia utekelezaji wa miradi mingi ya maendeleona kubadilisha maisha ya wanufaika kutoka kaya za walengwa kwani Serikali peke yakeisingeweza kufikia maeneo yote.Mkurugenzi msaidizi Rosa Teixeira Decarvalho kutoka FAS Carvalho amesemaamefurahishwa na utekelezaji wa miradi ya TASAF, pamoja na ushuhuda kutoka kwawanufaika ikiwemo eneo la elimu.Rosa amesema wajumbe hao tisa kutoka Serikali ya Angola pia wamefurahishwanamna jamii inavyoshiriki katika shughuli za miradi ya TASAF, lakini pia utekelezaji wamiradi ikiwemo ya barabara ambayo inarahisisha usafiri kwa wananchi.Wajumbe hao walitembelea miradi ya bwawa la maji na barabara iliyotekelezwa naTASAF, pamoja na kusikiliza shuhuda za wanufaika katika kijiji cha VikugeAmina Ally na Selemani Mgomba ni kati ya wanufaika kutoka katika Kijiji cha Vikugeambao wameishukuru TASAF kwa namna ilivyowawezesha kubadilisha maisha yao.Ashura Said amesema kupitia Mfuko wa TASAF


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.