Uhamisho unafanyika wanafunzi wakiwa likizo mwezi wa sita na mwezi wa kumi na mbili, ili mwanafunzi ahamishwe anatakiwa kupata nafasi kwenye shule anayotaka kuhamia na atajiziwa fomu ya uhamisho kutoka kwenye shule anayosoma.
KIBAHA DISTRICT COUNCIL
Anwani ya Posta: P.O BOX 30153
Simu ya Mezani: +255 23240224
Simu: +255 0767520048
Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz
Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.