HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA
Tel.No. 023-2402240
Fax No.023-2402240
E-mail:ded.kibaha@pwani.go.tz
Website:www.kibaha.go.tz
T A N G A Z O
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA ANAWATANGAZIA WAFANYABIASHA WOTE WA MAZAO YA CHAKULA KUWA WALE WOTE WANAOSHUSHA MIZIGO YAO NJE YA SOKO LA MLANDIZI LILILOPO KATIKA ENEO LA HALMASHAURI WATATOZWA TSHS.500 KWA MUJIBU WA SHERIA YA FEDHA YA SERIKALI ZA MITAA CAP.290 MAREJEO YA MWAKA 2002.
KWA YULE ATAKAYEKAIDI KULIPA USHURU HUU HATUA KALI ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA DHIDI YAKE.
IMETOLEWA NA
OFISI YA MKURUGENZI
HALMASHAURI YA WILAYA
KIBAHA.
KIBAHA DISTRICT COUNCIL
Anwani ya Posta: P.O BOX 30153
Simu ya Mezani: +255 23240224
Simu: +255 0767520048
Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz
Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.