HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA
YAH: UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA MJI WA KIMKAKATI KWALA KIBAHA
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA KIBAHA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE UUZAJI WA VIWANJA KATIKA ENEO KIMKAKATI LA KWALA.
VIWANJA VIPO UMBALI WA KM 20 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO VIGWAZA NA KM 3 KUTOKA BANDARI KAVU YA KWALA .
VIWANJA HIVYO VINAPAKANA NA ENEO LA UWEKEZAJI WA VIWANDA VYA KONGANI YA SINO TAN NA KARAKANA YA RELI YA SGR (MWENDOKASI).
BEI YA VIWANJA KWA MITA YA MIRABA NI KAMA IFUATAVYO:-
NA
|
AINA YA KIWANJA
|
BEI KWA MITA YA MRABA
|
1
|
MAKAZI
|
TSHS. 5,000
|
2
|
MAKAZI NA BIASHARA
|
TSHS. 6,000
|
3
|
BIASHARA
|
TSHS. 7,000
|
4
|
VIWANDA
|
TSHS. 5,500
|
5
|
MAGHALA
|
TSHS. 7,000
|
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA MAJI, UMEME, BARABARA NA HOSPITALI.
FOMU ZA MAOMBI ZINAPATIKANA KWENYE OFISI ZA MKURUGENZI MTENDAJI ZILIZOPO KISABI MLANDIZI KWA TSHS. 20,000/=
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0763629090, 0716895623
WOTE MNAKARIBISHWA.
IMETOLEWA NA
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
KIBAHA
KIBAHA DISTRICT COUNCIL
Anwani ya Posta: P.O BOX 30153
Simu ya Mezani: +255 23240224
Simu: +255 0767520048
Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz
Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.