• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • SP FINAL DRAFT
      • Mazingira na Usafishaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Utawala na Rasilimali Watu

 WATUMISHI

Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita 2005 mpaka 2015 kumekuwepo na ongezeko la watumishi wa kada mbalimbali kutoka 600 hadi watumishi 1436. Watumishi wapato 602 walishiriki mafunzo, semina warsha na makongamano mbalimbali kwenye vyuo mbalimbali kuwajengea uwezo na kuongezea stadi za kazi kwenye majukumu yao ya kila siku.

Mafunzo ya muda mrefu Shahada ya uzamili, Shahada, Stashahada ya juu Shahada – 38 Mafunzo ya muda mfupi Astashahada 164, na Semina/warsha/kongamamo 400. Pia halmashauri katika kipindi hicho imeajiri watumishi wapatao 836 kwenye Idara mbalimbali. Aidha katika kipindi cha miaka 10 kuanzia mwaka 2005 hadi 2015 watumishi wapatao 672 walithibishwa kazini na kupandishwa cheo.

JEDWARI NA. 2: IDADI YA WATUMISHI 

IDARA

IDADI YA WATUMISHI

Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu  

102

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji

    4

Idara ya Ardhi, Maliasili na Utalii

  17

Idara ya Ujenzi na zimamoto

  16

Idara ya Afya

298

Idara ya Maendeleo ya Jamii/Ustawi wa Jamii

  22

Idara ya Fedha

  20

Idara ya Maji

    5

Idara ya Mifugo na Uvuvi

  29

Idara ya Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji  

  34

Idara ya Elimu Sekondari

333

Idara ya Elimu Msingi

514

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani  

    3

Kitengo cha Sheria

    1

Kitengo cha manunuzi

    4 

JUMLA YA WATUMISHI

      1436

Chanzo Idara ya Utumishi 2015

 

 

3.0  UTAWALA BORA    

Dhana ya Utawala Bora inaendelea kuimarishwa katika nyanja za Demokrasia, Ushirikishwaji wa wananchi, Utawala wa sheria, Uadilifu wa uongozi na watendaji, uwazi na uwajibikaji, ufanisi wa utendaji kazi, uzingatiaji wa jinsia, Taratibu za upangaji mipango shirikishi, stadi za upangaji mipango na matumizi ya takwimu zimezingatiwa ipasavyo na kwa ustadi mkubwa.

Masanduku ya maoni yamewekwa katika sehemu mbalimbali ili wananchi waweze kutoa maoni yao ambapo imesaidia kero mbalimbali za wananchi kuendelea kushughulikiwa. Aidha, taarifa za mapato na matumizi zimekuwa zikitolewa kwa uwazi kwa wananchi.

Mafunzo ya demokrasia yameendelea kutolewa katika wilaya yote na ualikaji wa wananchi kuhudhuria vikao vya Baraza (Full Council) umefanyika kwa ufanisi mkubwa. Halmashauri na Wilaya imekuwa ikifanya vikao vya DCC na Bodi za Zabuni kama   ilivyopangwa, na zabuni kutolewa kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za manunuzi (The Public Procurement Act, 2004 and The Public Procurement Regulation, 2005).

 

Vikao vya Halmashauri

Halmashauri ina vikao vifuatavyo;

  • Vikao vya Baraza la Madiwani
  • Vikao vya Kamati ya Fedha, Uongozi, na Miapngo
  • Vikao vya Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
  • Vikao vya Kamati ya Elimu, Afya, Maji na Maendeleo ya Jamii
  • Vikao vya Kamati ya Maadili
  • Vikao vya Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
  • Vikao vya Kamati ya Ukaguzi
  • Vikao vya Bodi ya Vileo
  • Vikao vya Timu ya Menejimenti ya Halmashauri (CMT)
  • Vikao vya Baraza la Wafanyakazi

Matangazo

  • Wadaiwa wa Viwanja kibaha June 15, 2020
  • WANAHITAJIKA MAFUNDI WA KAZI ZA UJENZI KWA MATUMIZI YA NJIA YA "FORCE ACCOUNT" January 05, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha July 11, 2019
  • Kuhamia Mji Mdogo wa Mlandizi October 31, 2019
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • Halmashauri ya wilaya ya kibaha Imeendesha Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wahe.Madiwani.

    December 15, 2020
  • Mwakamo Aridhishwa na Matumizi ya Fedha

    December 03, 2020
  • Kibaha Dc Wakabidhi Madawati 127 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha kutekeleza Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Pwani Kuhusu Utengenezaji wa Madawati Katika Shule za Sekondari

    September 11, 2020
  • Mkuu wa Wilaya Awataka Watoa Huduma Watekeleze Wajibu Wao kwa Weledi

    August 04, 2020
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.