• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • SP FINAL DRAFT
      • Mazingira na Usafishaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Maendeleo ya Jamii

Majukumu ya Idara ya Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana;

Idara ina majukumu yafuatayo;

  • Kuhamasisha jamii katika suala zima la kuondoa umaskini kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Maendeleo ikiwemo Serikali, Wahisani pamoja na Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs).
  • Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera ya Maendeleo ya Jamii katika ngazi mbalimbali za jamii kuanzia vijiji, kata na Halmashauri.
  • Kuhamasisha jamii kuachana na mila zenye kuleta madhara na zinazokinzana na haki za binadamu ili kuleta maendeleo endelevu kwa jamii.
  • Kuhamasisha jamii juu ya hifadhi ya mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
  • Kuijengea jamii uwezo hususani makundi maalum (wanawake, watoto,wazee na wenye mahitaji maalum) ili waweze kumiliki uchumi kupitia rasilimali zilizopo.
  • Kutoa elimu ya ujasiliamali kwa vikundi vya wanawake na vijana pamoja na kutoa mikopo midogo midogo yenye riba nafuu ikiwa na lengo la kuongeza mitaji na kukuza uchumi kwa vikundi vya ujasiliamali.
  • Kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya UKIMWI na kupunguza kasi ya maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI.
  • Kushirikisha jamii katika kupanga, kutekeleza, kusimamia na kutathmini shughuli za maendeleo.

Matangazo

  • Wadaiwa wa Viwanja kibaha June 15, 2020
  • WANAHITAJIKA MAFUNDI WA KAZI ZA UJENZI KWA MATUMIZI YA NJIA YA "FORCE ACCOUNT" January 05, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha July 11, 2019
  • Kuhamia Mji Mdogo wa Mlandizi October 31, 2019
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • Halmashauri ya wilaya ya kibaha Imeendesha Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wahe.Madiwani.

    December 15, 2020
  • Mwakamo Aridhishwa na Matumizi ya Fedha

    December 03, 2020
  • Kibaha Dc Wakabidhi Madawati 127 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha kutekeleza Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Pwani Kuhusu Utengenezaji wa Madawati Katika Shule za Sekondari

    September 11, 2020
  • Mkuu wa Wilaya Awataka Watoa Huduma Watekeleze Wajibu Wao kwa Weledi

    August 04, 2020
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.