Mikopo ya vijana na Wanawake hutolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kutoka katika Asilimia kumi ya mapato ya ndani hili ni agizo la Serikali ili kuwainua wananchi wake kiuchumi na ni utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015 - 2020
Ili kuweza kupata mkopo huo unakiwa kwenda katika ofisi ya kata yako utakutana na afisa maendeleo ya jamii atakupatia fomu na kukueleza masharti ya mikopo hiyo.
KIBAHA DISTRICT COUNCIL
Anwani ya Posta: P.O BOX 30153
Simu ya Mezani: +255 23240224
Simu: +255 0767520048
Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz
Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.