JINSI YA KUPATA HATI YA MSHAHARA (SALARY SLIP) KWA WATUMISHI WA UMMA
Je Wewe ni mtumishi wa Umma? Je wajua ya kwamba unaweza kupata Hati ya Mshahara (salary slip) bila ya kwenda kuomba kwa afisa utumishi?
Serikali chini ya wizara ya fedha imeendelea kuboresha mfumo wa upatikanaji wa Hati ya Mshahara kwa kupitia Mfumo mpya wa wa Government Salary Slip Portal" kwa kujisajili kwenye mfumo.
Kwenye Mfumo huu mpya kuna vya kuzingatia;
Endelea kubofya hapa na ujisajili kwenye mfumo wa hati ya mshahara.
https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login
Kuingia kwenye Government Salary Slip Portal kwa wale Waliojisajili Bofya https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login
KIBAHA DISTRICT COUNCIL
Anwani ya Posta: P.O BOX 30153
Simu ya Mezani: +255 23240224
Simu: +255 0767520048
Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz
Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.